Mnamo tarehe 7 August 2016, Serikali ilitoa mwongozo mpya wa Elimu kupitia waziri wa Elimu, Sayansi, Technolojia na Mafunzo ya ufundi Prof. Joyce Ndalichako kuwa masomo ya sayansi ni lazima yasomwe na wanafunzi wote. Kufuatia mwongozo huo mbali na kwamba changamoto zipo, fursa kadhaa zimejitokeza ili kulifanikisha tamko hilo ipasavyo, hivyo ni wasaa mzuri kwako kulifuatilia kwa ukaribu mkubwa huenda fursa hizo zikawa zinakuhusu moja kwa moja, tazama hapa chini: Ajira kwa walimu wa Sayansi ; Kufutia tamko hilo wanahitajika Walimu wengi wa masomo ya Sayansi ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. 2. Hamasa na motisha kwa wanafunzi ; Kujikita ipasavyo kwenye masomo hayo kwa vitendo tofauti na ilivyo kuwa mwanzoni sababu iliyopelekea wengi kuyaona masomo magumu na suluhu kwa walio wengi ilikuwa kuyakimbia na kujikita kwenye masomo ya sanaa. 3. Fursa kubwa kwa wauzaji wa kemikali , wenye bustani zenye mimea ya ...
Skills and Agricultural Opportunities.