Skip to main content

HOME


hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn




ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 
Korosho dili
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Comments

Popular posts from this blog

ONGEZA THAMANI KWA MATUMIZI MBADALA

Ubunifu katika kutafuta na kufanya matumizi mbadala ya vitu mbalimbali ni njia nzuri yenye kuongeza thamani ya vile vitu vinavyoonekana havifai tena kutumiwa katika matumizi yake ya kawaida. Katika kuongeza thamani wakati mwingine imekuwa ni changamoto hasa katika kupata namna ya kutengeneza matumizi hayo mbadala, mjasiriamali yeye hutafsiri na kuchukulia hali hiyo kama fursa kwake, hii ndiyo kazi yake kubwa, ubunifu na kugundua vitu vipya. Leo tuangalie namna ambavyo Magunia ambayo wakati mwingine hujulikana kwa majina ya viroba au mifuko, yanavyo tengenezwa kuwa Zulia au Capeti au Mapambo ya Ukutani Kwa kawaida Magunia, katika maeneo mengi hutumika katika kuhifadhi mazao mfano nafaka, bidhaa za viwandani na wakati mwingine pia hutumia kuhifadhia uchafu yabisi. Nilifanikiwa kumtembelea mjasiriamali mmoja yeye kazi yake ni kutengeza mazulia au carpet (capeti) au Mapambo ya ukutani alisema hivi “ Kwa kutumia magunia yaliyo isha matumizi yake ya kawaida au lisilo na matu...

USINDIKAJI WA MABIBO YA KOROSHO: Naliendele-Mtwara

Korosho ni zao la biashara hapa Tanzania linalostawi vizuri katika ukanda wa pwani; mikoa ya Mtwara, Lindi na Pwani. Korosho ina matumizi mengi ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa mafuta ya kula, Keki na hutumika pia kama nuts kwa binadamu. Hata hivyo mbali na kuwepo kwa matumizi hayo kuna fursa ambayo bado mbichi kutokana na bibo la korosho ambalo huweza kutengeneza wine (mvinyo), Juice, Jams na local beer (pombe za kienyeji) Fursa hii ya usindikaji wa mabibo ya korosho katika kutengeneza mazao tajwa hapo juu, inahitaji uwekazaji katika techolojia ili kuweza kusindika bibo hizo na kupata rasimali watu wenye uwezo katika kufanikisha hilo. Ni wakati mzuri kujikita katika fursa hii ili mabibo yanayopotea kuweza kugeuzwa katika bidhaa ambazo zitatuletea kipato; changamkia Fursa hiyo hapa Naliendele Mtwara na maeneo yanayozalisha Korosho nchini.